-
Yohana 19:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Baada ya wanajeshi kumtundika Yesu kwenye mti, wakachukua mavazi yake ya nje na kuyagawanya vipande vinne, kila askari kipande kimoja, na pia wakachukua vazi la ndani. Lakini vazi la ndani halikuwa na mshono, lilikuwa limefumwa kutoka juu mpaka chini.
-