-
Yohana 21:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Basi Simoni Petro akapanda kwenye mashua na kuuvuta hadi ufuoni wavu uliojaa samaki wakubwa 153. Ingawa walikuwa wengi sana wavu haukupasuka.
-
-
Yohana 21:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kwa hiyo, Simoni Petro akapanda ndani na kuuvuta wavu kwenye nchi kavu ukiwa umejaa samaki wakubwa 153. Lakini ijapokuwa kulikuwako wengi sana wavu haukupasuka.
-