-
Yohana 21:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Yesu akawaambia: “Njooni mpate kiamshakinywa.” Hakuna hata mmoja wa wanafunzi aliyekuwa na ujasiri wa kumuuliza: “Wewe ni nani?” kwa sababu walijua ni Bwana.
-