10 akamkomboa kutoka katika dhiki zake zote, akampa kibali na hekima mbele ya Farao mfalme wa Misri. Naye Farao akamteua aongoze Misri na nyumba yake yote.+
10 naye akamkomboa kutoka katika dhiki zake zote na kumpa neema na hekima machoni pa Farao mfalme wa Misri. Naye akamweka aongoze Misri na nyumba yake yote.+