-
Matendo 14:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Huko Listra, kulikuwa na mwanamume aliyekuwa ameketi akiwa amelemaa miguu. Alikuwa kiwete tangu kuzaliwa na hakuwa ametembea kamwe.
-