-
Matendo 17:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 lakini wanaume fulani wakajiunga naye na kuwa waamini. Miongoni mwao kulikuwa na Dionisio, aliyekuwa mwamuzi wa mahakama ya Areopago, na mwanamke aliyeitwa Damari, na wengineo.
-