3 Akakaa huko miezi mitatu, lakini kwa sababu Wayahudi walikuwa wametunga hila dhidi yake+ alipokuwa karibu kusafiri kwenda Siria, akaamua kurudi kupitia Makedonia.
3 Na alipokuwa amekaa huko kwa miezi mitatu, kwa sababu hila+ ilikuwa imetungwa juu yake na Wayahudi alipokuwa karibu kusafiri kwenda Siria, akaamua kurudi kupitia Makedonia.