-
Matendo 23:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Basi mzozo ulipozidi kuongezeka, kamanda wa jeshi akaogopa kwamba watamrarua-rarua Paulo, akaamuru wanajeshi washuke wamnyakue kutoka kati yao kisha wamlete kwenye makao ya wanajeshi.
-