-
Matendo 25:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Lakini sina jambo hususa la kumwandikia Bwana wangu kumhusu. Basi nimemleta mbele yenu nyote, na hasa mbele yako wewe, Mfalme Agripa, ili baada ya kumchunguza kihukumu, nipate jambo la kuandika.
-