-
2 Yohana 12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ingawa nina mambo mengi ya kuwaandikia, sitaki kufanya hivyo kwa karatasi na wino, bali ninatumaini kuja kwenu na kuzungumza nanyi uso kwa uso, ili shangwe yenu iwe kamili.
-