3 Nikaona kimoja kati ya vichwa vyake kikiwa kimejeruhiwa vibaya lakini jeraha hilo la kifo lilipona,+ na dunia yote ikamfuata kwa mshangao yule mnyama wa mwituni.
3 Nami nikaona kimoja cha vichwa vyake kana kwamba kimechinjwa mpaka kufa, lakini pigo lake la kifo+ likapona, na dunia yote ikamfuata yule mnyama-mwitu kwa mshangao.