-
Mwanzo 35:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Kisha wakaondoka Betheli. Na walipokuwa umbali fulani kabla ya kufika Efrathi, Raheli akaanza kuzaa, na uchungu wa kuzaa ulikuwa mkali sana.
-