-
Mwanzo 36:39Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
39 Baal-hanani mwana wa Akbori alipokufa, Hadari akaanza kutawala baada yake. Jiji lake liliitwa Pau, na mke wake aliitwa Mehetabeli binti ya Matredi binti ya Mezahabu.
-