-
Mwanzo 37:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Kisha akamsimulia baba yake na ndugu zake ndoto hiyo, baba yake akamkemea na kumuuliza: “Ndoto hiyo yako inamaanisha nini? Je, kweli mimi na pia mama yako na ndugu zako tutakuja na kukuinamia mpaka ardhini?”
-