-
Mwanzo 39:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Lakini akakataa na kumwambia mke wa bwana wake: “Tazama, bwana wangu hajui vitu nilivyo navyo nyumbani, naye ameniweka kuwa msimamizi wa vitu vyake vyote.
-