-
Mwanzo 39:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 akaanza kulia kwa sauti kubwa na kuwaita wanaume wa nyumbani mwake na kuwaambia: “Tazameni! Alituletea mwanamume huyu Mwebrania ili tuwe kichekesho. Alikuja kulala nami, lakini nikaanza kulia kwa sauti yangu yote.
-