-
Mwanzo 41:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kisha masuke hayo membamba ya nafaka yakaanza kuyameza yale masuke saba ya nafaka yaliyojaa nafaka na ambayo yalikuwa mazuri sana. Ndipo Farao akaamka na kugundua kwamba ilikuwa ndoto.
-