-
Mwanzo 41:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Baada yao, ng’ombe wengine saba dhaifu, wenye sura mbaya sana, na waliokonda walipanda kutoka katika Mto Nile. Sijawahi kamwe kuona ng’ombe wenye sura mbaya hivyo katika nchi yote ya Misri.
-