-
Mwanzo 42:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Akawaambia ndugu zake: “Pesa zangu zimerudishwa, ndizo hizi hapa kwenye mfuko wangu!” Wakashuka moyo, wakaanza kutetemeka na kuulizana: “Ni jambo gani hili ambalo Mungu ametutendea?”
-