-
Mwanzo 42:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Walipokuwa wakimwaga nafaka kutoka katika magunia yao, kila mmoja wao alipata mfuko wake wa pesa katika gunia lake. Wote pamoja na baba yao walipoona mifuko yao ya pesa, wakaogopa.
-