-
Mwanzo 45:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kwa hiyo mnapaswa kumwambia baba yangu kuhusu utukufu wangu wote nchini Misri na kila kitu mlichoona. Sasa fanyeni haraka mkamteremshe huku baba yangu.”
-