-
Mwanzo 45:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Naye akamtumia baba yake vitu vifuatavyo: punda kumi waliobeba vitu vizuri vya Misri na punda majike kumi waliobeba nafaka na mikate na vyakula vingine kwa ajili ya safari yake.
-