-
Mwanzo 47:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Kisha Yosefu akawaambia watu: “Tazameni, leo nimewanunua ninyi na ardhi yenu kuwa mali ya Farao. Hapa pana mbegu kwa ajili yenu, zipandeni mashambani.
-