-
Mwanzo 9:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Na upinde wa mvua utatokea mawinguni, nami hakika nitauona na kukumbuka agano la milele ambalo mimi Mungu nilifanya pamoja na kila aina ya kiumbe hai duniani.”
-