-
Mwanzo 22:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Sasa Abrahamu akawaambia watumishi wake: “Ninyi kaeni hapa pamoja na punda, lakini mimi na mvulana huyu tutaenda kule ili kuabudu, halafu tutarudi.”
-