-
Mwanzo 22:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kisha Isaka akamwambia Abrahamu baba yake: “Baba!” Akajibu: “Naam, mwanangu!” Halafu Isaka akauliza: “Hapa kuna moto na kuni, lakini yuko wapi kondoo kwa ajili ya dhabihu ya kuteketezwa?”
-