-
Mwanzo 24:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Basi mtumishi huyo akachukua ngamia kumi kati ya ngamia wa bwana wake na kuondoka, akiwa na vitu vizuri vya kila aina kutoka kwa bwana wake. Kisha akaenda zake Mesopotamia, katika jiji la Nahori.
-