-
Mwanzo 24:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Labani alipoona ile pete na zile bangili mikononi mwa dada yake na kuyasikia maneno ya Rebeka dada yake, ambaye alikuwa akisema, “Hivi ndivyo mwanamume huyo alivyoniambia,” Labani alikwenda kukutana na mwanamume huyo, ambaye bado alikuwa amesimama karibu na ngamia wake kando ya chemchemi.
-