-
Mwanzo 24:65Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
65 Kisha akamuuliza mtumishi wa Abrahamu: “Mwanamume yule anayetembea shambani akija kutupokea ni nani?” Mtumishi huyo akajibu: “Ni bwana wangu.” Kwa hiyo Rebeka akachukua shela yake na kujifunika.
-