Mwanzo 25:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 lakini Abrahamu akawapa zawadi wana wa masuria wake. Alipokuwa bado hai, akawaagiza waende upande wa mashariki, mbali na Isaka mwanawe,+ katika nchi ya Mashariki.
6 lakini Abrahamu akawapa zawadi wana wa masuria wake. Alipokuwa bado hai, akawaagiza waende upande wa mashariki, mbali na Isaka mwanawe,+ katika nchi ya Mashariki.