-
Mwanzo 27:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Halafu akamwambia: “Mwanangu, niletee nyama ya porini nile, kisha nitakubariki.” Kwa hiyo akamletea, naye akala, pia akamletea divai, naye akanywa.
-