Mwanzo 27:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Aliposikia maneno ya baba yake, Esau akaanza kulia kwa sauti kubwa mno na kwa uchungu mwingi na kumwambia baba yake: “Nibariki mimi, naam, mimi pia, baba yangu!”+ Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 27:34 Ufahamu, Ufahamu,
34 Aliposikia maneno ya baba yake, Esau akaanza kulia kwa sauti kubwa mno na kwa uchungu mwingi na kumwambia baba yake: “Nibariki mimi, naam, mimi pia, baba yangu!”+