-
Mwanzo 29:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Wakamwambia: “Haturuhusiwi kufanya hivyo mpaka makundi yote ya kondoo yakusanywe kisha jiwe libingirishwe kutoka juu ya kisima. Ndipo tutakapowanywesha kondoo.”
-