Mwanzo 29:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Na Yakobo akaanza kumwambia Raheli kwamba yeye ni mtu wa ukoo wa* baba yake na kwamba yeye ni mwana wa Rebeka. Basi Raheli akakimbia na kwenda kumwambia baba yake.
12 Na Yakobo akaanza kumwambia Raheli kwamba yeye ni mtu wa ukoo wa* baba yake na kwamba yeye ni mwana wa Rebeka. Basi Raheli akakimbia na kwenda kumwambia baba yake.