Mwanzo 29:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Mara tu Labani+ aliposikia kuhusu Yakobo mwana wa dada yake, akakimbia kwenda kumpokea. Akamkumbatia na kumbusu na kumleta nyumbani kwake. Naye akaanza kumwambia Labani mambo hayo yote.
13 Mara tu Labani+ aliposikia kuhusu Yakobo mwana wa dada yake, akakimbia kwenda kumpokea. Akamkumbatia na kumbusu na kumleta nyumbani kwake. Naye akaanza kumwambia Labani mambo hayo yote.