Mwanzo 30:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Sasa Rubeni+ alikuwa akitembea siku za mavuno ya ngano, akapata dudai shambani. Kwa hiyo akamletea Lea mama yake. Basi Raheli akamwambia Lea: “Tafadhali, nipe baadhi ya dudai za mwana wako.” Mwanzo Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 30:14 w07 10/1 11; w04 1/15 28 Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 30:14 Mnara wa Mlinzi,10/1/2007, uku. 111/15/2004, uku. 28
14 Sasa Rubeni+ alikuwa akitembea siku za mavuno ya ngano, akapata dudai shambani. Kwa hiyo akamletea Lea mama yake. Basi Raheli akamwambia Lea: “Tafadhali, nipe baadhi ya dudai za mwana wako.”