-
Mwanzo 30:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Yakobo alipokuwa akirudi kutoka shambani jioni, Lea alienda kumpokea, akamwambia: “Utalala nami kwa sababu nimekukodi kikamili kwa dudai za mwanangu.” Basi akalala naye usiku huo.
-