-
Mwanzo 30:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Basi siku hiyo akawatenga mbuzi dume wenye mistarimistari na mabakamabaka na mbuzi jike wote wenye madoadoa na mabakamabaka, na kila mwanakondoo dume mwenye madoadoa meupe na wa rangi ya kahawia; akawapa wanawe ili wawatunze.
-