-
Mwanzo 30:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Kisha akaziweka zile fito alizobambua mbele ya mifugo, kwenye mitaro, kwenye vyombo vya kunyweshea, mahali ambapo wanyama walikuja kunywa maji, ili wazione fito hizo na kupata joto la kupandana wanapokuja kunywa maji.
-