-
Mwanzo 31:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Kwa nini ulitoroka kwa siri, ukanichezea akili badala ya kuniambia? Ikiwa ungeniambia, ningekuaga kwa shangwe na nyimbo, kwa tari na kinubi.
-