-
Mwanzo 31:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Yeyote utakayempata na miungu yako, atauawa. Pekua vitu nilivyo navyo mbele ya hawa ndugu zetu, uchukue chochote kilicho chako.” Lakini Yakobo hakujua kwamba Raheli alikuwa ameiba miungu hiyo.
-