-
Mwanzo 31:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Labani akamwambia Yakobo: “Mabinti hawa ni mabinti wangu na watoto hawa ni watoto wangu na wanyama hawa ni wanyama wangu, na kila kitu unachoona hapa ni changu na cha mabinti wangu. Ni jambo gani ninaloweza kufanya leo kuwadhuru mabinti hawa au kuwadhuru watoto wao ambao wamewazaa?
-