Mwanzo 31:52 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 52 Rundo hili la mawe ni ushahidi, na nguzo hii pia ni ushahidi+ kwamba sitapita rundo hili la mawe ili kuja kukudhuru, nawe hutapita rundo hili la mawe na nguzo hii ili kuja kunidhuru.
52 Rundo hili la mawe ni ushahidi, na nguzo hii pia ni ushahidi+ kwamba sitapita rundo hili la mawe ili kuja kukudhuru, nawe hutapita rundo hili la mawe na nguzo hii ili kuja kunidhuru.