-
Mwanzo 32:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Pia akamwamuru hivi yule wa kwanza: “Ikiwa Esau ndugu yangu atakutana nawe na kukuuliza, ‘Wewe ni mtumishi wa nani, unaenda wapi, na wanyama hawa walio mbele yako ni wa nani?’
-