-
Mambo ya Walawi 1:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kuhani atamtoa kwenye madhabahu, atamvunja shingo na kuacha kichwa kikining’inia, kisha atamchoma moto juu ya madhabahu ili afuke moshi, lakini damu yake itamwagwa kando ya madhabahu.
-