-
Mambo ya Walawi 3:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Anapaswa kuweka mkono wake juu ya kichwa cha mnyama huyo, naye atachinjwa kwenye mlango wa hema la mkutano; kisha wana wa Haruni, makuhani, watanyunyiza damu yake pande zote za madhabahu.
-