-
Mambo ya Walawi 3:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha mbuzi huyo, naye atachinjwa mbele ya hema la mkutano, nao wana wa Haruni watanyunyiza damu yake pande zote za madhabahu.
-