-
Mambo ya Walawi 7:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Nyama inayogusa kitu chochote kisicho safi haipaswi kuliwa. Itateketezwa kwa moto. Mtu yeyote aliye safi anaweza kula nyama iliyo safi.
-