-
Mambo ya Walawi 8:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Musa akamchinja na kuchukua kiasi fulani cha damu yake na kuipaka kwenye ncha ya sikio la kulia la Haruni na kwenye kidole gumba cha mkono wake wa kulia na kwenye kidole gumba cha mguu wake wa kulia.
-