-
Mambo ya Walawi 11:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 “‘Viumbe hao wakifa na kuangukia kitu chochote, kitu hicho hakitakuwa safi, iwe ni chombo cha mbao, nguo, ngozi, au gunia. Chombo chochote kinachotumiwa kinapaswa kutumbukizwa majini, nacho hakitakuwa safi mpaka jioni; baada ya hapo kitakuwa safi.
-